Judges 1:17

17 aBasi watu wa Yuda wakaenda na Wasimeoni ndugu zao kushambulia Wakanaani waishio Sefathi, nao wakauangamiza huo mji kabisa. Kwa hiyo huo mji ukaitwa Horma
Horma maana yake ni Maangamizi.
Copyright information for SwhKC